JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kuna kazi kitu nafanya hapa kwenye pc nilikiona tiktok hawa Waseng*** AI watatuua na njaaa yaani sasa hivi hata kama haujasoma computer coding unaweza uka design wwbsite kwa kujaza aina ya website unayotaka ma jina lako inakuletea mpaka maelezo yote yaani wewe ni kuandika. Mpaji Mungu Real estate company ima design kila kitu 😂😂😂
Siku hizi Coding hatuanzii from the scratch unachukua tu template unacustomize unaconnect na database 🔥🔥 mzigo unaenda hewani
 
Kumekucha 12:48 now tunaingia lindo
 

Attachments

  • 20240905_004002.jpg
    20240905_004002.jpg
    1.2 MB · Views: 3
Kuna wale wa nyumba za kupanga wanakula kimya kimya bila wapangaji wenzao kujua haya sasaa hii ndio mida ya kuzamia wakuu......
Hakikisha hupitiwi usingizi huko unakoenda kuzamia,ukijichanganya tuu utazinguliwa na kokolikooo...
Paaap unakuta foleni ya kuelekea kuoga watu na miswaki mkononi asa sijui utatokaje na ulivaa kimagumashi😳😳
 
Back
Top Bottom