Haupo pekeyako mkuu tupo tumejaaNdio naamka mkuu, sina kazi sina mke nakula nikitakacho maisha kamseleleko
Mbona haupatikani na hizi namba?0708
Mkuu Genius Man, ngoja nipone nitakuja tuchat vzr.
Tupo mkuu tumefurikaHaa😂 Mbona siwaonii
Japo sipo huko, ila naomba Mungu aniepushe na hiko chumba.Nilikwambiaga usiwe unaenda club peke yako haya sasa yamekukuta upo ICU
Leo naona upo serious pole sana nisamehe bure nilijua utani😥Japo sipo huko, ila naomba Mungu aniepushe na hiko chumba.
Niko wodi za kawaida....
Kawaida nduguUsingizi unaniringia sana, hii dharau sasa hii.....