JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ume nikumbusha profesa mmoja alikuwa na mke wake mdogo, yule mdada alikua akiishi eneo lenye shida ya maji, profesa wa watu alinunua gari na kuajiri dereva kwa ajili ya kuhakikisha mke hapungukukiwi na hata tone moja ka maji !
Kilicho nifurahisha vile walivyo achana tu, mwanamke hata umpe nini hachelewi kukustaajabisha.
hata umpe na roho yako bado hatakuelewa
 
Back
Top Bottom