Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morning 🌄 too0558
Good morning wote
Mnakeshaga kumbe
We naee ahsante ya nini bhana 😂😂Asantee
Wewe unalala muda gani sasa. Tenga muda wa kupumzika upate usingizi0626
Iko hivi hapo sehemu ya kuandikiaaa mkuu kwa juu huwa kuna idadi ya wasomaji wa uzi sasa wewe unawaona??Sijakuelewa, yaani?
Me mwisho saa 7Mnakeshaga kumbe
Yale maneno yanakuwa labda 10 people are here? Kama ni hayo sioni, itakuwa watu wamelalaIko hivi hapo sehemu ya kuandikiaaa mkuu kwa juu huwa kuna idadi ya wasomaji wa uzi sasa wewe unawaona??
Hamna thread zote ndo iko hivo aaah nishaboeka hapa me huwa napenda yale maneno unajua nani anaandika nkYale maneno yanakuwa labda 10 people are here? Kama ni hayo sioni, itakuwa watu wamelala
Kwahiyo kuna tatizo la ufundi au?Hamna thread zote ndo iko hivo aaah nishaboeka hapa me huwa napenda yale maneno unajua nani anaandika nk
Nishaongea nao PM wakiona ina mashiko wataiweka wakiona Haina umuhimu basiKwahiyo kuna tatizo la ufundi au?
Hii ngoja na Mimi nikuige kubeba screen shot nzima 😂😁😁