Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
😤😤😤Jitu la miraba, kifua meza, rijali matata.....
Huwa ni watu wa crypto currency haoSema tu wanakuwaga ni matapeli ila majini hio ni dhana. Jini atapata wapi simu vocha na chaji atakuwa anachajia wapi?
🤣🤣🤣🤣Mmmh bado unapiga cha p didy au sio
Tupo active0039 Maingate LMG standby one
Muombe sana mungu. Kwemye giza anatia mwanga. Binadamu sisi niwadhaifu sanaBado sijalala, nawaza nikipata ajira nitanunua Prado na kupanga nyumba Kariakoo, pia likizo nitakuwa naenda South Afrika au visiwa vya Comoros. Dah!
Endelea kuwaza,mambo yote huanzia kwenye mawazo yetu kisha utekelezaji ndio unafuataBado sijalala, nawaza nikipata ajira nitanunua Prado na kupanga nyumba Kariakoo, pia likizo nitakuwa naenda South Afrika au visiwa vya Comoros. Dah!
🤣🤣🤣 yamenikuta jana aisee hizi nyuzi zilikuwa nomaasana sio sasahivi MAchawaMimi tangu saa nane nipo tu nawaza mchepuko wangu, maana tumezinguana tangu juzi
TupoHadi sasa ivi hakuna aliyeripoti wote mpo kwenye zinaa🤣
Leo ukatembelee mrina.🤸🤸Tupo