Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mmmh bado unapiga cha p didy au sioHapana, bado bado Mkuu. Ila siku ikifika nitakucheck 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh bado unapiga cha p didy au sioHapana, bado bado Mkuu. Ila siku ikifika nitakucheck 😂
Noo, p Diddy mwenyewe simfahamu ila naona wanampost post sanaMmmh bado unapiga cha p didy au sio
We unamfahamu naniNoo, p Diddy mwenyewe simfahamu ila naona wanampost post sana
Wengi wengi, ila huyo simfahamu.We unamfahamu nani
Mrembo huyo tena mzuri haswa!Samahani mkuu, wewe ni ke au me?
Huyu haeleweki na hazoeleki kwa mambo yakeHuyu mkuu Evelyn Salt ananichekeshaga sana 😂
Hahaa 😂 sizani, halalagi usiku anawaza pesa na deals zake. Mtu wa juu huyoMrembo huyo tena mzuri haswa!
Lishangazi jipya la mwaka 90 tu hapo, Asikudanganye!!
Nilichokijua leo kuhusu yeye nimeshangaa, kumbe ni JITU la miraba minne 😁Huyu haeleweki na hazoeleki kwa mambo yake
Kakeshe Shiva utapata Kampani mpaka uchoke 😥Ugeni kazi kweli kweli niko arusha sina hata kampani, ngoja nikakeshe bar tu.
Yaa location na mazingira kiujumlaLocation au ?
Hauhitaj kampani wewe. Pumzika ulipofikia.Yaa location na mazingira kiujumla
Daa sawaHauhitaj kampani wewe. Pumzika ulipofikia.
Riverside Pana nafuu🤣Kakeshe Shiva utapata Kampani mpaka uchoke 😥
Tunakesha na kesho site saa 12🤣🤣🤣Usiku wa kumalizia jumapili na kuamkia Jumatatu.
Mapema sana kabla ya jogoo 🐓Tunakesha na kesho site saa 12🤣🤣🤣
Siri yako sasa😂😂Riverside Pana nafuu🤣