JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

3:30AM

Natoka zangu home niende kiwanja, nimepishana na pisi kama 3 zimelewa vibaya mnoo.
Nimeona isije kuwa mtego nimerudi ndani kusikilizia kama sio majambarika.

Hallelujah!!!
Hahahaha 🤣 😂 😂 😂 mkuu mimi nilikuwa naenda chooni kukojoa, naingia chooni tu hivi naskia mtu nyuma ya ukuta anapanda kuruka ukuta, na vishindo vya mtu mwenye kilo zake naviskia kabisa, alafu eti alipofika ukutani ni paka kubwa jeusi 😂 nikaona isiwe tabu
 
Hiyo ni noma mkuu, paka mtu huyo maana mida yao ndiyo hii sio poa.
Mimi bado nimevunga room kila nikipiga chabo nje nasisimka mwili nimeghairi mazima siendi club tena nimetubu.

Hahaa 😂 😂 😂 hii dunia ina mambo mkuu, yaani nimepiga tochi hivi nakutana macho kwa macho na nyau kubwa, likaruka kwa kishindo afu linakimbia vishindo vya kibinadamu kabisa
 
Obvious mzani hauwezi balance lazima tu mmoja atampenda mwingine zaidi. Kwa mwanaume ukiwa na pesa mara nyingi utapendwa zaidi unlike mwanaume ambae anapesa za kususua sua
03:38 📍Arusha - Unga Limited

Hv wakuu, n kwann kwenye mapenzi, yule anayempenda zaidi mwenzake ndie huonekana king'ang'anizi kwa huyo mwenzake?
 
Back
Top Bottom