Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Usiku wote huo utaniambia ulikuwa wapi03:07 Jmosi njema kabisa.....✨
Bro matajiri huwa hatulali, utajiri na usingizi ni vitu viwili tofauti.....bora yenu nyie masikini mnapata usingizi tena wa fofofo 😹Usiku wote huo utaniambia ulikuwa wapi
Bro nyie wenye utajiri wa majini kweli hamlali maana mpaka usiku mtembelee makaburi na kufikia madawa njia panda,mtalala saa ngapi?Bro matajiri huwa hatulali, utajiri na usingizi ni vitu viwili tofauti.....bora yenu nyie masikini mnapata usingizi tena wa fofofo 😹
Niachie my wangu 😎kwani p wewe ni mshangazi basi