Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo dada!
Poa😂Mambo dada!
Huyo mchepuko wake kaolewa!? Maana ndo huwa tabia zao hizoMie usingizi sina leo, kuna ki ex ka mume wangu ka tambooo sijamfahamu. Kanaanza kuvizia, nimekaota juzi usiku anataka kumdaka kwa msosi.
Sasa hapa namuangalia kalala natamani, kwa muda fulani sura iwe mbaya na pesa zimkaukie aonekane alosto.
Wamakimbie
Nimesali naamini hatadakwa.. Wanawake na mavyakula kusaka wanaume imezidi sana tena walio kwa ndoa. Na sifafutagi viumbe hivi.. Ngoma ya sala itawakimbiza tu na sigombani na mume wangu.
Mbona unacheka!? Wadogo zangu wa 3 hawajambo?Poa😂
Pole my dear.. Maombi ni muhimu sana👏Mie usingizi sina leo, kuna ki ex ka mume wangu ka tambooo sijamfahamu. Kanaanza kuvizia, nimekaota juzi usiku anataka kumdaka kwa msosi.
Sasa hapa namuangalia kalala natamani, kwa muda fulani sura iwe mbaya na pesa zimkaukie aonekane alosto.
Wamakimbie
Nimesali naamini hatadakwa.. Wanawake na mavyakula kusaka wanaume imezidi sana tena walio kwa ndoa. Na sifafutagi viumbe hivi.. Ngoma ya sala itawakimbiza tu na sigombani na mume wangu.
Vifaranga vimekua kwakwel😂Mbona unacheka!? Wadogo zangu wa 3 hawajambo?
Hahaha bado wanakusumbua tu! Kipindi kile ulikuwa unalialia humu 🤣Vifaranga vimekua kwakwel😂
Acha ubinafsi. Raha ya mume muwe wanne.Mie usingizi sina leo, kuna ki ex ka mume wangu ka tambooo sijamfahamu. Kanaanza kuvizia, nimekaota juzi usiku anataka kumdaka kwa msosi.
Sasa hapa namuangalia kalala natamani, kwa muda fulani sura iwe mbaya na pesa zimkaukie aonekane alosto.
Wamakimbie
Nimesali naamini hatadakwa.. Wanawake na mavyakula kusaka wanaume imezidi sana tena walio kwa ndoa. Na sifafutagi viumbe hivi.. Ngoma ya sala itawakimbiza tu na sigombani na mume wangu.
Jamani karibu rafikiUnaweza kunikaribisha sina usingizi tuyajenge chimbo limetema
Ngoja nione kama umetuma location DM🤣Jamani karibu rafiki
Umeshaona rfk💕Ngoja nione kama umetuma location DM🤣