JamiiForums Usiku wa manane

Mie usingizi sina leo, kuna ki ex ka mume wangu ka tambooo sijamfahamu. Kanaanza kuvizia, nimekaota juzi usiku anataka kumdaka kwa msosi.

Sasa hapa namuangalia kalala natamani, kwa muda fulani sura iwe mbaya na pesa zimkaukie aonekane alosto.

Wamakimbie

Nimesali naamini hatadakwa.. Wanawake na mavyakula kusaka wanaume imezidi sana tena walio kwa ndoa. Na sifafutagi viumbe hivi.. Ngoma ya sala itawakimbiza tu na sigombani na mume wangu.
 
Huyo mchepuko wake kaolewa!? Maana ndo huwa tabia zao hizo
 
Pole my dear.. Maombi ni muhimu sana👏
 
Acha ubinafsi. Raha ya mume muwe wanne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…