Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Barida kaka, sema mi Nina gender ya kiume. Ko Kama we unazo mbili ni shwanga pia.Hata wewe kiongozi...we only have two genders. Otherwise I'm mistaken!
0157 ๐01:38 Kweli nime amini makuruta mme zeeka, lindo halina mtu kabisa.
Bantu Lady, Mad Max, Shadow7, Uchira 1, Dr am 4 real PhD, Half american Kichwa Kichafu, Mjep na wengine wote hamjambo๐ค.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃBarida kaka, sema mi Nina gender ya kiume. Ko Kama we unazo mbili ni shwanga pia.
Kaka 02:04, nili kuwa tu nawa sabahi0157 ๐
0208 Karibu sana lindoniKaka 02:04, nili kuwa tu nawa sabahi
Mkuu kila nikifungua huu uzi, upo..uwe unalala๐๐Kaka 02:04, nili kuwa tu nawa sabahi
nashukuru, ila anaye nikaribisha naye kalala fofofo0208 Karibu sana lindoni
0251 Mwanaume halali. Anafumba machonashukuru, ila anaye nikaribisha naye kalala fofofo
Nisi kufiche kaka, usingizi sio chaguo langu.Mkuu kila nikifungua huu uzi, upo..uwe unalala๐๐
02:53 ni kweli, huwa tuna pumzika hatu lali kishenzi0251 Mwanaume halali. Anafumba macho
Missed you, macho mazuri๐๐๐๐๐
Mungu akusimamie mkuu...Nisi kufiche kaka, usingizi sio chaguo langu.
Ila kwa kuwa mimi ni raisi wa ma jobless pro max, basi majukumu nayo Yana changia kuwa macho.
Roho yangu mkononiโบ๏ธโบ๏ธMissed you, macho mazuri๐๐
Hahaha siku wepo jukwaani Kama miezi 9, majukumu yali kuwa mengi, lakini pia nili pata ajali kidogo.Mungu akusimamie mkuu...
Ila on serious note, kila nikiona huu uzi nakutafuta kwanza ๐๐๐..
All the best masta.
Nili andika mpaka uzi wa kuku ulizia, ila hata like kuonyesha upo hamna.Roho yangu mkononiโบ๏ธโบ๏ธ
Uzi tena? ๐๐Nili andika mpaka uzi wa kuku ulizia, ila hata like kuonyesha upo hamna.
Mi ukija humu utanikuta nazurura hapa na pale๐๐Nili andika mpaka uzi wa kuku ulizia, ila hata like kuonyesha upo hamna.