JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ooh karibu tena Intelligent businessman Happy New Year 2025. Ulimisika, bora umerudi, tulifufue chama letu upya. Watu wanalala wana raha gani?.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Much love bantu, Jana nime muona dahan pia.

hahaha eti Wana raha gani, usi nikumbushe nime lala sana saa 2,3,4 kisa dawa nilizo kuwa natumia πŸ˜ƒ
 
Ooh karibu tena Intelligent businessman Happy New Year 2025. Ulimisika, bora umerudi, tulifufue chama letu upya. Watu wanalala wana raha gani?.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Bantu Lady mimi ndio mgeni, ila maneno haya si mageni jijini πŸ˜†.
yaani nika jua tuta Linda wote, kumbe Umesha staafu na ulinziπŸ˜†
 
Back
Top Bottom