Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
04:57
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha, wewe hatu fungagi saa 12, huo muda watu tuna endelea na mambo mengine .Nafunga 5:51
haya mzee likizo njema😆, mimi nime funga lindo Jana na Leo, so nipo naendeleza shughuliHaha umenifanya ni-comment. Nimechukua likizo ya wiki 2
Tukutane lindoni 00:00haya mzee likizo njema😆, mimi nime funga lindo Jana na Leo, so nipo naendeleza shughuli
hahaha, hizo ahadi hazi fai lindoni, tuku tane tu muda wa ulinziLeo tutaungana wakuu
angalau umerudi Fake P alitufukuza humu.haya mzee likizo njema😆, mimi nime funga lindo Jana na Leo, so nipo naendeleza shughuli
haya comrade, naona ume anza mambo ya wazee wa public relations, sio tena u mejaTukutane lindoni 00:00
Sheria namba kumi na nane kifungu b, Ina sema walinzi walio kuja na magodoro hawa fai lindoni.angalau umerudi Fake P alitufukuza humu.
huko mimi sipo tena😅We mshamba_hachekwi chief cubana nae mta mfunga ama ??, maana kasha mtoa akpi.
na kasha waita odogwu Diddy😆, burna kasha nyanganywa simu na Maza ake.
hahaha, favorite artist wako na marijuana, ni baboon twins in a forest of a banana plantation 😆huko mimi sipo tena😅