JamiiForums Usiku wa manane

Basi Mh. Rais nikabidi nikafanye kikao na mke mdogo wa Makaburi Ngonyaniiii ili kunusuru ndoa!

Tumefika pale! Tupo njwiiiiiiii!

Nikaanza kutoa hutba nzito! Kumbuka hapo Mimi ni mwanafunzi ila shule siendiii.

Nikaongea sanaaaa! Ila yule dada alinifunga mdomo japo nilikuwa nimelewa kwa swali Moja tu!

Akaniuliza shemeji nikuulize swali! Mieee nkajibuuu niulizeee

"Kama Mimi ningekuwa ni dada ako, kwa ulevi huu? Ungekubali niendee kukaa kwenye ndoa na huyu ndugu yako?

Mimi nikaagaaaaa .. ๐Ÿ˜‚

Usiku umeingia ntarudi kesho!

Mganga hajigangiii! Mke mdogo akaondoka zake
 
Ninakula Injera hapa Addis na nyama za mbavu. Nikimaliza ni usingizi teyari kwa safari yangu asubui kurudi Nyumbani.

What a treat.

I miss Dar and I miss you Cheusi Dawa. Zawadi yako ya Aifon 16 pro na tiktok ndani inakuja.๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ