JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Naam Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nakusikiliza kijana.
Mh. Rais wa Majobless Promax unajali sana wananchi wako.

Kuna siku moja nikiwa advance level pale Eckenforde Sec ... Nilitoka jioni kwenda Chuda!

Kupata Banana Raha! 😂 Ilikuwa inauzwa 500 .. Ukinywa Tatu hoiii!

Sasa nilienda na jamaa angu mmoja wa damu sana ...zee la mapenzi ameoa mwaka Jana!

Tumekaa pale tunapata banana! Akatokea mtu mmoja wa makamo kama tu! Nikamwambia jamaa angu huyu mtu ni mganga!

Jamaa angu akasema eti nimelewa tayari😂
 
Jobless pro max acha ulevi kijana, spreading your hard earned Money kisa furaha ya muda mfupi sio kitu kizuri.
 
Mh. Rais wa Majobless Promax unajali sana wananchi wako.

Kuna siku moja nikiwa advance level pale Eckenforde Sec ... Nilitoka jioni kwenda Chuda!

Kupata Banana Raha! 😂 Ilikuwa inauzwa 500 .. Ukinywa Tatu hoiii!

Sasa nilienda na jamaa angu mmoja wa damu sana ...zee la mapenzi ameoa mwaka Jana!

Tumekaa pale tunapata banana! Akatokea mtu mmoja wa makamo kama tu! Nikamwambia jamaa angu huyu mtu ni mganga!

Jamaa angu akasema eti nimelewa tayari😂
Haya uki ona binti wa kitanga nishtue
 
Basi Mh Rais wa Majobless Promax

Mimi nikamwita muhudumu nikamwambia Mpe yule jamaa bia Moja anayokunywa ntalipa Mimi!

Makaburi Ngonyaniiii akapokea akaambiwa imetokae kwa wale vijana kuleeeeeeee!

Akatuita tukae meza Moja ili tubadilishane mawazo kipindi tukiendelea kuunguza Figo
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Usingizi umekata
 
Basi Mh Rais wa Majobless Promax

Mimi nikamwita muhudumu nikamwambia Mpe yule jamaa bia Moja anayokunywa ntalipa Mimi!

Makaburi Ngonyaniiii akapokea akaambiwa imetokae kwa wale vijana kuleeeeeeee!

Akatuita tukae meza Moja ili tubadilishane mawazo kipindi tukiendelea kuunguza Figo
Oya changamka, raisi wa ma jobless pro max kesho Nina enda kutafuta kazi.
 
Tumefika pale si akaanza kumchambua jamaa angu

Kataja ukooo! Hulka yake! Haina na tabia zakee zoteee! Akasema mie mgangaaa!

Nikamwambia jamaa angu si nilikwambiaaaaaa 😂

Jamaa angu si akabeba meza kichwaniii kwa kushangaaaa mambo ya ajabu ya Makaburi Ngonyaniiii

Basi tukawa marafiki tu

Siku moja nikaenda nae kilingeni kwake!

Kuna nyoka anakuja kunywa maji kila saa 7 mchana amewekewa chungu maalumu
 
Back
Top Bottom