Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
mashauzi without having a real source of income, apart from spreading her legs ni kazi😂😂Huyu anachagua sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mashauzi without having a real source of income, apart from spreading her legs ni kazi😂😂Huyu anachagua sana
she doesn't spread her legs bwana, she's just delusional.mashauzi without having a real source of income, apart from spreading her legs ni kazi😂😂
Hakuna labda huko Fb ndo Huwa yapo mh Rais wa majobless promaxHamna group la. Watu wa Tanga??
I didn't mean she spreads her legs, namaanisha she wants big fish.she doesn't spread her legs bwana, she's just delusional.
Naam Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nakusikiliza kijana.Intelligent businessman Leo nikupe story ya Makaburi Ngonyaniiii Mh. Rais wa majobless promax
Mh. Rais wa Majobless Promax unajali sana wananchi wako.Naam Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nakusikiliza kijana.
Jobless pro max acha ulevi kijana, spreading your hard earned Money kisa furaha ya muda mfupi sio kitu kizuri.Mh. Rais wa Majobless Promax unajali sana wananchi wako.
Kuna siku moja nikiwa advance level pale Eckenforde Sec ... Nilitoka jioni kwenda Chuda!
Kupata Banana Raha! 😂 Ilikuwa inauzwa 500 .. Ukinywa Tatu hoiii!
Sasa nilienda na jamaa angu mmoja wa damu sana ...zee la mapenzi ameoa mwaka Jana!
Haya uki ona binti wa kitanga nishtueMh. Rais wa Majobless Promax unajali sana wananchi wako.
Kuna siku moja nikiwa advance level pale Eckenforde Sec ... Nilitoka jioni kwenda Chuda!
Kupata Banana Raha! 😂 Ilikuwa inauzwa 500 .. Ukinywa Tatu hoiii!
Sasa nilienda na jamaa angu mmoja wa damu sana ...zee la mapenzi ameoa mwaka Jana!
Tumekaa pale tunapata banana! Akatokea mtu mmoja wa makamo kama tu! Nikamwambia jamaa angu huyu mtu ni mganga!
Jamaa angu akasema eti nimelewa tayari😂
Mh Rais wa majobless promax 😂Jobless pro max acha ulevi kijana, spreading your hard earned Money kisa furaha ya muda mfupi sio kitu kizuri.
Yupoooooo Binti wa kislamuuHaya uki ona binti wa kitanga nishtue
Usingizi umekataNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Oya changamka, raisi wa ma jobless pro max kesho Nina enda kutafuta kazi.Basi Mh Rais wa Majobless Promax
Mimi nikamwita muhudumu nikamwambia Mpe yule jamaa bia Moja anayokunywa ntalipa Mimi!
Makaburi Ngonyaniiii akapokea akaambiwa imetokae kwa wale vijana kuleeeeeeee!
Akatuita tukae meza Moja ili tubadilishane mawazo kipindi tukiendelea kuunguza Figo
For real??, ain't joking!Yupoooooo Binti wa kislamuu
Mzuriiiii sanaaaa
Sijanywa au kuvuta sigara toka nizaliwe.Mh Rais wa majobless promax 😂
Nimeacha Pombe tangu 2018 siku hizi sinywiiii
Nipo seriouslyFor real??, ain't joking!
Safi sanaaaaSijanywa au kuvuta sigara toka nizaliwe.
Karibu sanaaaUsingizi umekata