JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimeongea na moderator wawe wanafunga huu uzi saa kumi na moja asubuh kisha wafungue saa sita.
tutakua tunachat hapa usiku tu hata mimi nimekosea kutoa haya maelezo mchana
Ni haki yako kutoa maoni, ila mswahili Wana sema kufata yasiyo kuhusu kaungane na kina mama.
 
Back
Top Bottom