Kula maisha mkuu...Time : 1:01 AM
Location : Montana Lounge,
Place :Millennium tower
Status : Aliyekaribu aje karibu na Counter
billie ali stahili, halafu matikiti una taka niku tumie kwa basi??Hahaaa brother bado zimekutoa kwenye mstari.. Mimi akili saa hii ishatepeta at least tuongelee yale matikiti napataje maana ikifika saba na nusu nitalala
Ni wapi huko MkuuKula maisha mkuu...
Tukija CBD tutaomba location za kwenda kupunguzia mawazo
Nishazeeka, sijui hata wimbo mmoja wa billie elish na hata kwenye cowboy cater nazijua nyimbo tatu tu. ππbillie ali stahili, halafu matikiti una taka niku tumie kwa basi??
City centre boss.. Si upo millenium.. Mjini kabisaNi wapi huko Mkuu
Ooh, lugha zenu hizo unaiachaCity centre boss.. Si upo millenium.. Mjini kabisa
Naelewa mkuu.. Enjoy your time kakaOoh, lugha zenu hizo unaiacha
uta mlipa ππNishazeeka, sijui hata wimbo mmoja wa billie elish na hata kwenye cowboy cater nazijua nyimbo tatu tu. ππ
Matikiti tuma kwa tingo wa roli, akifika mjini Naenda kuchukua dose
Imeisha hiyo ila yasije matikiti yanafanana na ya buguruni.. Quality mzee ππuta mlipa ππ
Haya niki rudi nita kujulisha, ni mazuri japo you never know what might happen ππ.Imeisha hiyo ila yasije matikiti yanafanana na ya buguruni.. Quality mzee ππ
Nishatepeta pia brother ngoja niangushe
Rasi wa majobless pro max unakeshaπ unafanya nini?05:38