Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Kula maisha mkuu...Time : 1:01 AM
Location : Montana Lounge,
Place :Millennium tower
Status : Aliyekaribu aje karibu na Counter
Tukija CBD tutaomba location za kwenda kupunguzia mawazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula maisha mkuu...Time : 1:01 AM
Location : Montana Lounge,
Place :Millennium tower
Status : Aliyekaribu aje karibu na Counter
billie ali stahili, halafu matikiti una taka niku tumie kwa basi??Hahaaa brother bado zimekutoa kwenye mstari.. Mimi akili saa hii ishatepeta at least tuongelee yale matikiti napataje maana ikifika saba na nusu nitalala
Ni wapi huko MkuuKula maisha mkuu...
Tukija CBD tutaomba location za kwenda kupunguzia mawazo
Nishazeeka, sijui hata wimbo mmoja wa billie elish na hata kwenye cowboy cater nazijua nyimbo tatu tu. 😁😁billie ali stahili, halafu matikiti una taka niku tumie kwa basi??
City centre boss.. Si upo millenium.. Mjini kabisaNi wapi huko Mkuu
Ooh, lugha zenu hizo unaiachaCity centre boss.. Si upo millenium.. Mjini kabisa
Naelewa mkuu.. Enjoy your time kakaOoh, lugha zenu hizo unaiacha
uta mlipa 😂😆Nishazeeka, sijui hata wimbo mmoja wa billie elish na hata kwenye cowboy cater nazijua nyimbo tatu tu. 😁😁
Matikiti tuma kwa tingo wa roli, akifika mjini Naenda kuchukua dose
Imeisha hiyo ila yasije matikiti yanafanana na ya buguruni.. Quality mzee 😁😁uta mlipa 😂😆
Haya niki rudi nita kujulisha, ni mazuri japo you never know what might happen 😂😆.Imeisha hiyo ila yasije matikiti yanafanana na ya buguruni.. Quality mzee 😁😁
Nishatepeta pia brother ngoja niangushe
Rasi wa majobless pro max unakesha😂 unafanya nini?05:38