Na kina fanya vizuri mnoo...🤣 Shout out kwako🤗Sehemu za siri😅
Hongera sana, hiyo ni dalili nzuri, ngoja nianze kumuandaa mkungaHapana siwezi hiyo kazi ni ngumu! Hapa natamani udongo tu😜
Amechoka kulala huyo tangu alivyolala sa 12 jioniHivi kweli jogoo anawika saa hizi🤔
Haya mahindi tunayokoboa na kula yanatumaliza akiliKimehamishia mapigano sehemu nyingine..🤗
Aisee! Na hakuna anyewaza wala nini😅Na kina fanya vizuri mnoo...🤣 Shout out kwako🤗
Huyo jogoo atakua na tabia mbaya anawikaje mdaa huuHivi kweli jogoo anawika saa hizi🤔
Hakikisha mnaondoka na kuniacha nikiwa pekeangu mkuu! Choxhote mtakachokikuta hakinihusu! Sitaki tatizo na mtu🙁Hongera sana, hiyo ni dalili nzuri, ngoja nianze kumuandaa mkunga
Na sasa hivi wametufunga mdomo kabisa wanatuambia aibu tutaona sisi 😂😂Aisee! Na hakuna anyewaza wala nini😅
Appreciations ☺️
Afadhali wasomi mnaongezeka, tayari ningeambiwa uchawi🙌🏾Amechoka kulala huyo tangu alivyolala sa 12 jioni
Nataka kajomba mimiHakikisha mnaondoka na kuniacha nikiwa pekeangu mkuu! Choxhote mtakachokikuta hakinihusu! Sitaki tatizo na mtu🙁
Tena kawika mara 4😳Huyo jogoo atakua na tabia mbaya anawikaje mdaa huu
😂😂😂😂 Mkiisha jipata sasa mnaulaumu ugali uliowaleaHaya mahindi tunayokoboa na kula yanatumaliza akili
Hivi kumbe kesho jmosi! Niwekee kiti mkuu😎Ngoja nilale ili niwai jumuia kesho saa 12 asubuhi
Uku awali wakisifia sana maharage ya nazi😂😂😂😂 Mkiisha jipata sasa mnaulaumu ugali uliowalea
Kizazi cha kina Nkrumah walikuwa wanakula dona😂😂😂😂 Mkiisha jipata sasa mnaulaumu ugali uliowalea
Yani unabaki kushangaa mwenyewe! Mpaka dunia iishe tumeshangaa na kushangaa tena!Na sasa hivi wametufunga mdomo kabisa wanatuambia aibu tutaona sisi 😂😂
Umeenda kusalimia ushagooTena kawika mara 4😳
Usijali, nitumie na sadaka yako nikutunzie sasa hiviHivi kumbe kesho jmosi! Niwekee kiti mkuu😎