Na kina fanya vizuri mnoo...π€£ Shout out kwakoπ€Sehemu za siriπ
Hongera sana, hiyo ni dalili nzuri, ngoja nianze kumuandaa mkungaHapana siwezi hiyo kazi ni ngumu! Hapa natamani udongo tuπ
Amechoka kulala huyo tangu alivyolala sa 12 jioniHivi kweli jogoo anawika saa hiziπ€
Haya mahindi tunayokoboa na kula yanatumaliza akiliKimehamishia mapigano sehemu nyingine..π€
Aisee! Na hakuna anyewaza wala niniπNa kina fanya vizuri mnoo...π€£ Shout out kwakoπ€
Huyo jogoo atakua na tabia mbaya anawikaje mdaa huuHivi kweli jogoo anawika saa hiziπ€
Hakikisha mnaondoka na kuniacha nikiwa pekeangu mkuu! Choxhote mtakachokikuta hakinihusu! Sitaki tatizo na mtuπHongera sana, hiyo ni dalili nzuri, ngoja nianze kumuandaa mkunga
Na sasa hivi wametufunga mdomo kabisa wanatuambia aibu tutaona sisi ππAisee! Na hakuna anyewaza wala niniπ
Appreciations βΊοΈ
Afadhali wasomi mnaongezeka, tayari ningeambiwa uchawiππΎAmechoka kulala huyo tangu alivyolala sa 12 jioni
Nataka kajomba mimiHakikisha mnaondoka na kuniacha nikiwa pekeangu mkuu! Choxhote mtakachokikuta hakinihusu! Sitaki tatizo na mtuπ
Tena kawika mara 4π³Huyo jogoo atakua na tabia mbaya anawikaje mdaa huu
ππππ Mkiisha jipata sasa mnaulaumu ugali uliowaleaHaya mahindi tunayokoboa na kula yanatumaliza akili
Hivi kumbe kesho jmosi! Niwekee kiti mkuuπNgoja nilale ili niwai jumuia kesho saa 12 asubuhi
Uku awali wakisifia sana maharage ya naziππππ Mkiisha jipata sasa mnaulaumu ugali uliowalea
Kizazi cha kina Nkrumah walikuwa wanakula donaππππ Mkiisha jipata sasa mnaulaumu ugali uliowalea
Yani unabaki kushangaa mwenyewe! Mpaka dunia iishe tumeshangaa na kushangaa tena!Na sasa hivi wametufunga mdomo kabisa wanatuambia aibu tutaona sisi ππ
Umeenda kusalimia ushagooTena kawika mara 4π³
Usijali, nitumie na sadaka yako nikutunzie sasa hiviHivi kumbe kesho jmosi! Niwekee kiti mkuuπ