JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
tribute to the founder

the man himself
father of the thread
the sleeplater in chief

No Escape

i salute you man.
 
Ina maana nyie watu mnasinzia mapema hii kweli?
Amkeni atii mi naogopa humu mwenyewe

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom