JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sio kipochi kuwa na heshima ni kibegi changu , na muandiko ni wangu sina Manzi Mimi , jinsi nilivyo na usongo wa Maisha napata wapi muda wa kuwa na Manzi , kumuita baby sijui my na kumCare ?😆😎View attachment 3694145

Hiko ni kibegi changu Cha Mitikasi kila sehemu nipo nachoView attachment 3694148
Naona jamaa utakuwa winga wa magari nini😁
 
Naona jamaa utakuwa winga wa magari nini😁
Hamna , hamna ni mwanaharakati mitikasi tu kila sekta yeyote nzuri halali yenye maslahi nipo .

Nikiwa katika sekta ya ujenzi
IMG_20261020_123132.jpg

Nikiwa katika kilimbo cha mbogamboga

IMG_20261020_122921.jpg

Nikiwa katika sekta ya kubangua Korosho na kuuza

IMG_20261020_123035.jpg

Nikiwa sekta ya ufugaji na kuhudumua mifugo
IMG_20261020_123435.jpg

Nafanya hayo yote huku nikiwa bado nasoma , najiita Gunman kwenye mitikasi nikikamata silaha sijiulizi mara mbili ni kulenga shabaha tu
IMG_20261020_123629.jpg
 
Hamna , hamna ni mwanaharakati mitikasi tu kila sekta yeyote nzuri halali yenye maslahi nipo .

Nikiwa katika sekta ya ujenziView attachment 3694287

Nikiwa katika kilimbo cha mbogamboga

View attachment 3694290

Nikiwa katika sekta ya kubangua Korosho na kuuza

View attachment 3694291

Nikiwa sekta ya ufugaji na kuhudumua mifugoView attachment 3694293

Nafanya hayo yote huku nikiwa bado nasoma , najiita Gunman kwenye mitikasi nikikamata silaha sijiulizi mara mbili ni kulenga shabaha tuView attachment 3694299
na una kimuandiko cha kupodoa mpka unanizidi,
 
Attachments

  • 20261020_130150.jpg
    20261020_130150.jpg
    507.4 KB · Views: 7
na una kimuandiko cha kupodoa mpka unanizidi,
Wa kupodoa sio mwandiko wangu rasmi japo unataka kufanana , wa kupodoa natumia makusudi nikitaka kuremba 😆

Mwandiko wako upo smart sana , umeenda shule na unaingia katika miandiko bora na mizuri niliyowahi kuiona
 
mimi na akili zangu timamu nimeamua kuangalia kirikuu kwa mara nyingine tena bila kushurutishwa na mtu
Kirukuu nzuri sana na ni katika movie iliyotrend zaidi bongo enzi zake ilikuwa sio mtoto wala mkubwa. Wiki iliyopita tu Mimi niliwaza niingie YouTube nikacheki Kirikou part 2

Mimi nimeImiss zaidi ile part two wanayoongea kifaransa , na Kuna ile Tingatinga ya Wanyama niliikubali sana na kajimbo chao
 
hiyo tingaTinga ndo ipi? mi siifahamu hebu tuma cover kesho niamke nayo

hiyo kirikuu part 2 mi sijaiona
 
Wa kupodoa sio mwandiko wangu rasmi japo unataka kufanana , wa kupodoa natumia makusudi nikitaka kuremba 😆

Mwandiko wako upo smart sana , umeenda shule na unaingia katika miandiko bora na mizuri niliyowahi kuiona
hebu tuone huo mwandiko wako rasmi kama haujapodoa😄

senkiyuuu japo kuandika kwenye plain paper sijajua maandishi huwa yanapinda mpka niandikie rula
 
Aisee nimekunywa Reds 5 mida ya mchana, saivi kichwa kikaanz kuuma si nikasahau kama nimebugia vi bia nimekunywa panadol nipo najiuliza hivi ini linaweza kuharibika kwa siku moja? au ni mpka iwe kitu cha kujirudia? 😪😪
 
hebu tuone huo mwandiko wako rasmi kama haujapodoa😄

senkiyuuu japo kuandika kwenye plain paper sijajua maandishi huwa yanapinda mpka niandikie rula
Huo upo kihuni sana , sijawahi kuupiga picha nikipata nafasi ya kutembelea nyumbani nitaingia makumbusho yangu kuchukua daftari moja la zamani nipige picha 😂
 
Back
Top Bottom