MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
acha UOGA wewe mbona sisi hatufi?Kwahiyo kumbe namimi nitakuwa naingia huko ili nife si ndio? Siwezi!
NaKunywa nikiwa mzigoni, halafu mi sinywi hizo apple cider naziona kama apple punch tu😁
Baadae takuonesha what i do drink, friend😎
hahaha eti apple punch nn?minaziitaga juisi eti..
isije kua unakunywa captain wewe 😎