MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
acha UOGA wewe mbona sisi hatufi?Kwahiyo kumbe namimi nitakuwa naingia huko ili nife si ndio? Siwezi!
NaKunywa nikiwa mzigoni, halafu mi sinywi hizo apple cider naziona kama apple punch tu😁
Baadae takuonesha what i do drink, friend😎
Ndio vitu vyangu kabisa nakukatia chupa afu freshy tu!😎acha UOGA wewe mbona sisi hatufi?
hahaha eti apple punch nn?minaziitaga juisi eti..
isije kua unakunywa captain wewe 😎
Happy sabath!19:17
Tunaanza na Mungu
aah!Kama ww ndo safi maana budget yako inakua ishajitenga.Ndio vitu vyangu kabisa nakukatia chupa afu freshy tu!😎
Sawa basi la aabh sana niko huko!
ndio ndio sabath ni kwaajili yetuHappy sabath!
Happy sabath!
Subiri nitafute pic kwanzaaah!Kama ww ndo safi maana budget yako inakua ishajitenga.
sema naomba nikione iko kinywaji chako bhana maana si mchezo
Amen mtumishi!ndio ndio sabath ni kwaajili yetu
marko 2:27
hapana sijasema hivoAmen mtumishi!
aaah!minikajua uko nacho hapo unashusha mdogo mdogoSubiri nitafute pic kwanza
Huogopi Elnino?... Sunscreen zote zinadunda 🫠Siwezi kutulia hadi unipeleke nikale mazagazaga
Hutaki?hapana sijasema hivo
Sina huo ujeuri kwa leo nimeshikika!aaah!minikajua uko nacho hapo unashusha mdogo mdogo
kutaka nataka Sana Ila sema inabid uwe specific!?Hutaki?
Nani uyo kakushika ivoo,!?Sina huo ujeuri kwa leo nimeshikika!
Kwamba??kutaka nataka Sana Ila sema inabid uwe specific!?
Kaisari😆Nani uyo kakushika ivoo,!?
natumikia nn ???Kwamba??