JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nikalale sasa mbu wapate chochote kitu
 

Attachments

  • FB_IMG_1793421945838.jpg
    FB_IMG_1793421945838.jpg
    18 KB · Views: 3
Huyo ni mdogo angu wa jf. Unajua ile mdogo na mkubwa wanaweza kubishana ukafikiri wamekua maadui, ila sasa jaribu kumchokoza mmoja. Wote wawili wanakuchangia
Iwe jf ama uraiani, she definitely your big sis

Aisee🤣🤣, kweli mkuu. Hater ls are secrete friends, and even lovers. Haya mambo kuna mtu alisha kuja na uzi humu akaongelea
 
Aww jamanii nawaombeni watoto wangu basi ukute nilikuwa coma nikaibiwa labor na sijui🥹

Unaweza kuta mmechanganya mafaili bila kujua ohoo! Kaombe taarifa mpya mnanichosha kuwaelezea ujue🙄

Mwingine kaambiwa huyo marlayer tu yani mnanipa tabu🤦🏽‍♀️
Eh kumbe ww marlayer, bei elekez n sh ngapi nami nataka 😎
 
😀😀 Jamani kwahiyo mnanijua wakuu, Nimelia sana.

Itabidi hii ID niiue nije na ID ya Gen Alfa, chupa mpya mvinyo wa kale 😩
Wewe ni mke wangu mtarajiwa, so mimi kukujua lazima niujue hata kama usipo naijua mimi...

Lazima nijuwe mali yangu nitakayo ili pia mahari ikoje
 
Back
Top Bottom