James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
cc: ISIS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi tupo benchi hadithi hamna aisee hapa ndio tutakapomkumbuka ibra wetu [emoji120]Shunie mama hadithi na riwaya nakuonaa nakuonaa
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo ulilala kabisa aisee na mie inabidi anifundishe si kwa upopo huu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo ulilala kabisa aisee na mie inabidi anifundishe si kwa upopo huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akuje na mie anifundishe jamaan nilale[emoji3][emoji3][emoji3]
Nililala kabisa japo iceman alikuwa ananisumbua baada ya kichwa kichafu kunitelekeza lakini nilipiga moyo konde nikafata ushauri wa mwalimu na kulala usingiz kabisa
Ibraa daaa jamaa kasepa kibabee ujuee[emoji17] [emoji17]Sasa hivi tupo benchi hadithi hamna aisee hapa ndio tutakapomkumbuka ibra wetu [emoji120]
[emoji3][emoji3][emoji3]Sijui nimefikaje hapaa
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Acha tu ni kumuombea kwa Mungu tu ampumzishe mahali pema peponi [emoji120] pengo lake halitazibika tutamkumbuka sana wapenda riwayaIbraa daaa jamaa kasepa kibabee ujuee[emoji17] [emoji17]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ntaimalizia vipiii jamaan aliyeianza hayupo na ibra alikuwa anatunga papo kwa papoSema shunie umesoma ma hadithi mengi mengi fanya kutumalizia "nitakupata tu" [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mpendwa wangu[emoji15] [emoji15] [emoji15] ntaimalizia vipiii jamaan aliyeianza hayupo na ibra alikuwa anatunga papo kwa papo
Kaka angu mie [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Mpendwa wangu
Kile kipaji ilitakiwa urithi wewee[emoji15] [emoji15] [emoji15] ntaimalizia vipiii jamaan aliyeianza hayupo na ibra alikuwa anatunga papo kwa papo
Kidogo kidogo mkuu tupo na NeyShunie na victor bravo naona mnautendea haki uzi
Mpaka saa 11 hiiii ngoma mkuuShunie na victor bravo naona mnautendea haki uzi
Kuna vitu vinakuja automatically aisee sio kila kitu cha kuigaKile kipaji ilitakiwa urithi wewee
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Naama dadangu[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji8]Kaka angu mie [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ni jambo la faraja sana kuona kuwa siko peke yanguKidogo kidogo mkuu tupo na Ney