JamiiForums Usiku wa manane

Dada angu sakayo acha nilale avatar yako inanitisha nitaota naomba urudishe ya mwanzo siingii jf mpaka ubadili hii avatar na kurudisha ya mwanzo
 
Dada angu sakayo acha nilale avatar yako inanitisha nitaota naomba urudishe ya mwanzo siingii jf mpaka ubadili hii avatar na kurudisha ya mwanzo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Nililala kabisa japo iceman alikuwa ananisumbua baada ya kichwa kichafu kunitelekeza lakini nilipiga moyo konde nikafata ushauri wa mwalimu na kulala usingiz kabisa
hahahaha
ujue ulivo kuwa macho na mie nlikuwa najitahid niwe macho ndio sabab nlikuwa sku achi ulale
halaf wewe ukawa unataka ulale mapeema.
jana uliwahi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…