[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]shunie hadi ana kesha sasa kisa Manga haonekani! [emoji23] [emoji23]
this tyme naukumbuka ule wimbo wa country sjui kaimba nan unaitwa 'it must be love'
Twende CINEMA basi jumamoshahaha
aaah usjali bhana, second choice wako nipo ila not for so long.
halaf Ney mpango wetu wa kuchek movie pamoja ulifia wap?
hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Shunie ndio kaamua hivyo halali mpaka Manga aje
Punguza menu basihahahaha
ntaoaje bila wewe kuoewa taarifa
niko alone alone ila naona tuu usingizi unaongezeka
HahahaManga akuje tuu maana shunie anamtafuta sana jamani
Basi na sisi tulale tuu, leo nitafata ule ushauri wa Manga jana alivyo niambia. I hope nitapata usingizhahahaha
bas zamani mama yetu alikuwa hali mpaka baba aje ndio wanakila wote ,umenikumbusha mbali
ila Manga sjui kama leo ata tokea kuja kweli
hivi wiki hii kuna movie gani nzuri?Twende CINEMA basi jumamos
hahahahPunguza menu basi
haya zima taa tulaleBasi na sisi tulale tuu, leo nitafata ule ushauri wa Manga jana alivyo niambia. I hope nitapata usingiz
Angalia hapo banah na wewe kila kitu kipo nethivi wiki hii kuna movie gani nzuri?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalia hapo banah na wewe kila kitu kipo net
Hahahahahahah
dada unataka usema mimi.nafukia sana.
akat kama leo nimekula tu pilu maharage sahani mbili.na Cocacola.moja
hata sijala.sana
nimepunguza kabsaa sku hizi kwa kwliHahaha
Si unaona sasaa jamani.... Pilau tuu yenyewe tayari walewa, maharagwe ndo kabisaa......Coca-Cola ndo umejiua mazimaa
Naona wanapishana ka tamthilia... Jana Manga kakesha akimuwinda Shunie.... Leo zamu ya Shunie, nahisi keshasinzia na simu mkononiBasi na sisi tulale tuu, leo nitafata ule ushauri wa Manga jana alivyo niambia. I hope nitapata usingiz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona wanapishana ka tamthilia... Jana Manga kakesha akimuwinda Shunie.... Leo zamu ya Shunie, nahisi keshasinzia na simu mkononi
Hahahanimepunguza kabsaa sku hizi kwa kwli
zamani ndio nlikuwa nakula sana yaan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mi.mwenzio mhenga hayo mambo mageni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona wanapishana ka tamthilia... Jana Manga kakesha akimuwinda Shunie.... Leo zamu ya Shunie, nahisi keshasinzia na simu mkononi
Hehehee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wawe wana nigea ujumbe mimi
au wanampa Ney
sisi tutakuwa ma middlemen
hahahahaHahaha
Nakuvutia picha haiji ujue....