JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mi kuna majambazi nje yanatishia kuua
Naombeni namba za polisi kimara au jirani mpaka ubungo , nipate Msaada wa kipolisi jamani
 
Biashara . ...namwomba RHABUKA MAULANA azidi kuniongoza katika biashara zangu . ...najua amesha nifungulia milango . .Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana kwangu milele yote Amen RA . ..
 
Dah . .maana mimi niko mbali . ..Masaki . .sasa sijui nikusaididieje ndugu yangu
 
Back
Top Bottom