JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Husemwa sana kama Juma Nature eti hakuna kulala...

Na husemwa tena sana kama TiD alivyosema watasema sana, kisha watalala...

Na kweli, huku siku hizi ni kelele kiasi kisha utaona "offline" baada ya dakika kadhaa
 
Me 2[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Uwiiiii[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom