JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Usiku wa manane,wafaa sana kwa maombi Mungu atusaidie sana.
Mungu awabariki wote mahali hapa.[emoji120]

Msijisumbue kwa neno lolote ;bali katika kila neno kwa kusali na kuomba,pamoja na kushukuru,haja zenu na zijulikane na Mungu .Na amani ya Mungu,ipitayo akili zote itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu

Wafilipi 4:6-7
Amina
 
Is this time morning? Escape. This is midnight. Good nite all of you Popoz.
 
Ayayayaya kuna jamaa anapiga papuchi chumba cha pili hapa ni shida asee sijui ni miguno ya raha au karaha kwa jinsi huyo punga wake anapiga yowe
 
Back
Top Bottom