JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mwenye Enzi Mungu ibariki nchi yangu Tanzania na watu wake tu! Wabariki viongozi wote wa nchi yangu haswa namwomba rais wangu mtukufu JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI rais wa JAMHURI YA TANZANIA!
Namwombea pia rais Mh Shein!
Mwenye Enzi Mungu atubariki watanzania kwa afya njema, utajiri, furaha, amani, ufahamu, uwezo, busara na HEKIMA milele yote!
Katika jina la Yahushua ha Mashaich! AMUN RA
 
Back
Top Bottom