JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

images
Kukosa Usingizi Raha sana Unatiririka Tuuuuu Ndani ya J.F.
Hahaha halafu mod wamelala raha sana
 
Hatamimi nashangaa nilizani kunasehem nimejiconect bilakujua.

Kumbe na wengine pia.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Hata mimi nilidhani hivyo hivyo kumbe ni mambo yao hawa jamaa ila nimefanikiwa kuitoa naona wewe bado inasoma tecno j8
 
Back
Top Bottom