JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ha ha ha zamu yangu kuangaza.
Safi za tangu lindo la Jana?
hahahah
Afande Malaika unaingia late sana lindoni wewe.

toka jana ilikuwa poa, leo mchana nlikuwa nasnzia kila sehem, hata nikisimama nlikuwa nasinzia.
 
hahahah
Afande Malaika unaingia late sana lindoni wewe.

toka jana ilikuwa poa, leo mchana nlikuwa nasnzia kila sehem, hata nikisimama nlikuwa nasinzia.
Hapa nimetafuta usingizi wee i!meshindikana.
Nimejifunika gubi gubi lakini wapi. Nikaamua tuu nije huku nitapata mawili matatu
 
Jamaa mm ndio nimewahi lkn ananifukuza haya bwana..

-Mond-
Umenikumbusha mbali sana. Kaka yangu mkubwa alikuwa anatabia kaka yangu mdogo akija na classmates wake wa kike ....
Itaendelea lindo la kesho
 
Hapa nimetafuta usingizi wee i!meshindikana.
Nimejifunika gubi gubi lakini wapi. Nikaamua tuu nije huku nitapata mawili matatu
ujue bas kuna mtu una muwaza, au kuna kitu una waza, sema sana sana mtu.

kujifunika gubi gubi ndio kuna kiwaje vile?
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
nashukur bro wewe najua utapambana mbele kwa mbele.

usi sinzie sasa
Hahahha ataenda kufukua maiti za 1900.
Huyo ni wakufungiwa mahali asitoke maana madhara yake ni makubwa sana
 
Umenikumbusha mbali sana. Kaka yangu mkubwa alikuwa anatabia kaka yangu mdogo akija na classmates wake wa kike ....
Itaendelea lindo la kesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jamaniii
iendelee now bas
 
ujue bas kuna mtu una muwaza, au kuna kitu una waza, sema sana sana mtu.

kujifunika gubi gubi ndio kuna kiwaje vile?
Hapana siwazi mtu kufikia hatua ya kukosa usingizi .
Labla kuna kitu nakiwaza mkuu.
Gubigubi unajifunika blanket hadi usoni.
 
Back
Top Bottom