JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

teh teh
sasa mwenzangu DA kwani na wewe ulikuwa umefukia makaburi mengi kias hiko?
Huyu mbaya yaani . wewe umeshazika umesahau miaka imesonga Leo unakuta maiti ipo juu kama siyo nuksi nini.
Makaburi kadhaa tuu
 
Hapana siwazi mtu kufikia hatua ya kukosa usingizi .
Labla kuna kitu nakiwaza mkuu.
Gubigubi unajifunika blanket hadi usoni.
aaah of koz huwez kukubali kuwa unawaza mtu its okey.

anhaaa! hahaha bas cha kufanya hapo uvue nguo zote ndio ulale, usingizi huja fasta hivo.
 
Huyu mbaya yaani . wewe umeshazika umesahau miaka imesonga Leo unakuta maiti ipo juu kama siyo nuksi nini.
Makaburi kadhaa tuu
hahaha
kuna kaburi alifukua jana asee nilijukuta nakuwa interested, kama kuna mengine zaid inabid afukue tuyasome bhas
 
aaah of koz huwez kukubali kuwa unawaza mtu its okey.

anhaaa! hahaha bas cha kufanya hapo uvue nguo zote ndio ulale, usingizi huja fasta hivo.
Hahahha kwa nini nisikubali. Siwezi poteza usingizi kwa ajili ya mtu boss. Bado sanaaa.
Nivue Mara mbili? Ha ha ha
 
hahaha
kuna kaburi alifukua jana asee nilijukuta nakuwa interested, kama kuna mengine zaid inabid afukue tuyasome bhas
Hahahaha . kufukua makaburi ni kosa atalambwa ban.
Lile la Jana hatari tupu kaniletea balaa Mimi.
Asirudie. Au na Mimi nikamfukue
 
Hahahha kwa nini nisikubali. Siwezi poteza usingizi kwa ajili ya mtu boss. Bado sanaaa.
Nivue Mara mbili? Ha ha ha
aaah
bas Malaika hapo huna uzoefu inatakiwa upitie hizo stage ndio ukomae, mi nshawahi umwa kabsa, sema hizo stage nisha vuka kwa sasa.

ooh umevua kumbe, ndio maana naona napata ka attraction ka kuendelea kuchat [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Hahahaha . kufukua makaburi ni kosa atalambwa ban.
Lile la Jana hatari tupu kaniletea balaa Mimi.
Asirudie. Au na Mimi nikamfukue
hahahaha
ila mi nilifurahi nikapa nami kuwakilisha ya moyoni, ukipita utayaona huko.

[emoji28] kafukueee!
 
aaah
bas Malaika hapo huna uzoefu inatakiwa upitie hizo stage ndio ukomae, mi nshawahi umwa kabsa, sema hizo stage nisha vuka kwa sasa.

ooh umevua kumbe, ndio maana naona napata ka attraction ka kuendelea kuchat [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ulizipita ukiwa na umri gani? Tuanzie hapa
 
hahahaa
utadhani ameniacha na wewe tuko geto halaf kaondoka na funguo.
a very korofi kid huyu Ray vanny
Zamani enzi za ... Basi nilikuwa nikienda kuwasalimia "mshikaji" wenzake wakianza kuondoka nilikuwa nalia awabembeleza wasiondoke.
Utasikia tunafuata vocha hapo tunakuja sasa hivi. Mmmhh
 
Back
Top Bottom