JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mwenzangu alipatwa na nini lakini...

Kwamba hauko na contact zakee amaa... Aliaga kwenye uzi, mie nikajua ni suala la mwezi au miwili...
hakuwahi kunipa contact
i wanted to know him so much.

dada,alikuwa ni ndugu yangu mpaka kuna sku tulijibizana vibaya hapa jf, watu kibao wakawa wana shangaa kimetupata nini, yaan had tukajistukia tuka takana radhi hapa
ila inaonekana hakutaka kabsa mtu amfaham hapa jf .

bado ni ndugu yangu though sku mjua
 
Daaaah
Bado sitaki kuamini Kwamba hatarudi jamani...

Kuna watu wasiri mnoo... Ila yule kaka ako na something special
 
Back
Top Bottom