JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Next time Nita kaa muda mrefu kama mziki wa kidedea...si unajua ule ata game likiwa Traford...utaimbwa mwanzo mwisho!!
hahahaha
aaah
asee mamabo ya OT umenifurahisha hapo

haya pumzika salama
 
Mimi ndiyo Nina moto zaidi nimekumiss hadi kazini nasign jina lako kwenye kitabu cha mahudhurio

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
haki ya Mungu huu uongo ni wa kiwango cha makinikia
 
AM

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom