Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Haha [emoji106]Teh teh angalia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha [emoji106]Teh teh angalia tu
Ndio, halafu umeingia mazima[emoji23]Ahahhh kumbe ulikuwa unanitega
Mmeanza na mambo yenu ya codeTeh teh angalia tu
Kiasi chake ila mie sio mpenzi wa savanna itokee mara moja sana niwe na hamu nayoIvi savvana hua zinaundugu na females?
Yepi hayoMmeanza na mambo yenu ya code
Kwema kabisaBasi vizuri
Za tangu jana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulipolalia wewe nimeamkia hapo hapoNdio, halafu umeingia mazima[emoji23]
Post sent using JamiiForums mobile app
Karibu,Tanga raha sana kila siku ni kama weekendDaah
Ila Tanga napakubali aseeh
Kiasi chake ila mie sio mpenzi wa savanna itokee mara moja sana niwe na hamu nayo
Najuaje mie we na bamdogo angu mnayoyaongeaYepi hayo
Usipende sana,si unakumbuka yaliyomkuta yule mwenzenu!Kiasi chake ila mie sio mpenzi wa savanna itokee mara moja sana niwe na hamu nayo
Wewe mpenzi wa nini nikuletee kesho?Kiasi chake ila mie sio mpenzi wa savanna itokee mara moja sana niwe na hamu nayo
Mmeanza na mambo yenu ya code
nimefrijika sana kuwaona pamojaTeh teh angalia tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ney haujawahi kunitenga labda uanze leo.
Hata kaintrodaksheni basi
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Wewe mpenzi wa nini nikuletee kesho?
Post sent using JamiiForums mobile app
Nakumbuka ile unatoka tua akaingia nikauliza mlikua chaka moja akashangaa sanaKwema kabisa
Kumekucha tena tunashukuru, Vipi umenionea iceman? Namtafuta sana siunakumbuka jana alivyonikimbia na kuniacha mpweke?
Yule ni ujinga wake au aliwekewa madawaUsipende sana,si unakumbuka yaliyomkuta yule mwenzenu!
Post sent using JamiiForums mobile app