JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Afande jana nilishangaa umerudi humu.
Japo nilikuwa nimelala ila si

unajua tunalala jicho moja afande.
hahaha
eeh sisi si unajua twalala jicho moja kimachale machale
jana bhana Neybright kanilaza macho hakuwa kwa mood nzuri nlipo ondoka
nikashindwa kulala then nikarud siku mkuta
afande ulikuw usiku mrefu sana jana
 
Pole sana ni yale yale matatizo yako au ulikuwa na mengine?

Mimi leo nimeshindia cinema siku yangu imekuwa burudani sana
hahaha
amnaa nna ndugu yangu anaumwa ila leo nlipo enda kule nlikuwa sjiskii vzuri
kwa wagonjwa nlo waona nilipona mbona yaan had sasa nna nguvu.

umeenda kwa sinema na nan Ney?
 
Back
Top Bottom