JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Huyu itakuwa anakukubali ukifumba macho.

Mwqmbie ya moyo ukiwa umefumba macho ataelewa[emoji23]
Aaa huyu ananipaga makavu sana huyu.
Yani hapa natamani hata nimtafute mshana afanya matunguli yake huko mtoto akubali japo kunipa attention
 
Ahaa kwahiyo kumbe ni sawa mdogo wako nikiingia mzima mzima, because i love him more not more very much no ooh i don't know sielewi nisemeje
Ni sawa tu ukiingia mzima mzima ila kanuni muhimu unapopima kina cha maji hutakiwi kuingia na miguu yote.

Alafu hakuna kuzama hadi ukafikia kuruhusu uchenjuaji Wa makinikia wakati kibali cha kumiliki mgodi hatujampatia. Huo utakuwa ni uhujumu uchumi.
 
Back
Top Bottom