JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mmh jamani!! Kutoka iphone mpaka tecno wereva!! Tunarudishana nyuma hivo..acha ubahili basi kha!
Bebi siunajua makinikia zimezuliwa bandarini?

Zikiachiwa tutanunua uliyoizoea.
 
Leo nabook nafasi kabisaaa.usiku nitakuwepo hapa kama popo
 
Mafua Yananizingua Aaah Mbaya Sana Halafu Pua Moja Basi, Naisomaje Namba Hapa Dah!
 
Kama nilivyosema hapo awali Leo nitakuwa kaka popo au keshakakesha kama CNN ngwairs voice!!
 
Back
Top Bottom