JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ila mlimuongelea jana na jirani me nakutakia kila la kheri manga akukubali mpendane jamaan mana me bado na makando kando yangu jirani upooo
Nikajua tulikua tunaongea nae kumbe hata mwenyewe hakwepo?

Yale maneno ya mfa maji wala yasikuaumbue zaidi ilikua ni ulalamiahi tu kwa unavyo nifanya
 
Jj bwana nini. Huyo pastor hapo uliyemuweka I love her so much.
Thats why I appreciate you much.
Afu unaona mm napendwa wakati mm naona sipendwi adi sometime najiwekaga fungu la kukosa.
Now naanza kukupa attention nishajua udhaifu wako bibie.
Kikubwa nitalinda huo moyo usije ukaumia.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mbavu zangu utalipa ujue? Duuh sio kwa mistari hiyo Saint

Jesus is my saviour and a friend
 
Back
Top Bottom