JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Usilale kwanza mii sijakuelewa apa

Umesema sijakosea ukimaanisha nimepatia.nimeuliza nimepatia kitu gani ili iwe sijakosea?
Asa Shunie ntakua sio bina adam basi kama sitojionea huruma nimeulizwa nikajibu ilivyo

Manga hilo ndio jibu lako umeelewa sasa ulivyojibu mwanzo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tupia jirani hata kesho nitausoma ujue mchana au asbh usiku nakuja kujibu
hahaha
sasa jirani unasomaje msg viporo

halaf nlitaka tu nimuage ndugu yangu ML hapo
 
Asa Shunie ntakua sio bina adam basi kama sitojionea huruma nimeulizwa nikajibu ilivyo

Manga hilo ndio jibu lako umeelewa sasa ulivyojibu mwanzo
Naam apo nimekuelewa yaliofata hapo yalikua mawazo tu yasio mashiko ila wewe ndo umeyashika
 
hahaha
mie pia nimecheka sanaaa

ila wanasema usipokubali kufa huta onja pepoio

so wewe usjali ndio maisha haya
Hamna kilicho zidi vyote ulisha vijua hapa ni porojo tu si kwamba nlikua nategemea jipya natumai umenielewa
 
Hamna kilicho zidi vyote ulisha vijua hapa ni porojo tu si kwamba nlikua nategemea jipya natumai umenielewa
sasa now kwa kuwa hatutegemei jipya bas tuendelee ku tafuta mapya.

kama gwaride we songa mbele and dont be apologetic ndio uamuzi ulio baki.
usikimbie mbio ambazo unaona haziwez isha.
 
Back
Top Bottom