JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

a5d3cfe0c373548e651ce11c5176d906.jpg
 
Mtakatifu Ivuga. Binadamu upendo. Mwanamke usiomunee wivu kiasi hicho.
Hii ndio roho yangu.
Mbona JF ina wanawake kibao single?
Huyu alikuwa hapa miaka kibao mbona hamna aliyemuona?

Nimempendezesha ndio mnajifanya mnaleta undugu?
Huyu analindwa na power
 
Hii ndio roho yangu.
Mbona JF ina wanawake kibao single?
Huyu alikuwa hapa miaka kibao mbona hamna aliyemuona?

Nimempendezesha ndio mnajifanya mnaleta undugu?
Huyu analindwa na power
Tunda linavunwa likisha iva. Utakulaje embe bichi?
Sio kila mwanamke ni mwanamke Ivuga!
 
Back
Top Bottom