Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Usiogope Mkuu, mimi huwa nasaidia tuAngalia mali za watu
Teh teh
Jesus is my saviour and a friend
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope Mkuu, mimi huwa nasaidia tuAngalia mali za watu
Teh teh
Jesus is my saviour and a friend
Usilale buana apo ndo mpk asbh acha kudanganya utarudiNa mm ngoja nipumzike kidogo nitarudi
Jesus is my saviour and a friend
Tupo karibu tenaHiki kijiwe nimekimisipo hivi mupooooo mnaendeleaje
Hi ndiyo mida yenyewe MkuuKwa kweli hamjautendea haki huu uzi mida bado sana ya popo kutoka pangoni
sent from kuzimu
Hao wengine wameshazima tayari.Manga Ml, Ridhwan Mbaraka,Msolo,Ipogolo, Quigley, germve No Escape, Nyagei ,gentlemanx, youngblood...na popo wote geti liko wazi
OhoooooHao wengine wameshazima tayari.
Kweli mtoto halali na hela.Ohooooo
Kelele za bure hiziManga Ml, Ridhwan Mbaraka,Msolo,Ipogolo, Quigley, germve No Escape, Nyagei ,gentlemanx, youngblood...na popo wote geti liko wazi
Hahaaha ndo unakuja bby, sio nguvu ya soda hiyo ni yang mwenyewKweli mtoto halali na hela.
Mikelele yote hio mara oyooooo mara sijui nini. Milango iko wazi etc kumbe nguvu ya soda tu
Karibu sana mbilikimo wangu nipooooKelele za bure hizi
Huu mda wangu na kaka angu sahz we najua sahv tu unapoteaKelele za bure hizi
UmeniitaHuu mda wangu na kaka angu sahz we najua sahv tu unapotea
[emoji61] [emoji61] [emoji61][emoji124] [emoji124]
Ahaaa jiran na ww ni popo konkodiUmeniita