Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Bundi hudinzia na kulala, watu kama popo.
Watu kama bundi!
love thé love or hâte thé love.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu kama bundi!
love thé love or hâte thé love.....
Sikujua nnavyosikia wanalia nikafikiri hawalali usiku kuchaBundi hudinzia na kulala, watu kama popo.
Naona muda wa kufunga geti inakaribia. Ngoja tujiandae tujiondokee humu tuhamie kwingine.Sikujua nnavyosikia wanalia nikafikiri hawalali usiku kucha
love thé love or hâte thé love.....
Muda wa kukusanya silaha nankukabidhi ofisiNaona muda wa kufunga geti inakaribia. Ngoja tujiandae tujiondokee humu tuhamie kwingine.
Kabisa. Jana ulikabidhiwa lindo lipi Mkuu? Je, silaha gani ulipewa?Muda wa kukusanya silaha nankukabidhi ofisi
love thé love or hâte thé love.....
Lindo la geti dogo,silaha gobore na kirungu..Kabisa. Jana ulikabidhiwa lindo lipi Mkuu? Je, silaha gani ulipewa?
Kumbe wewe ni Watch (wo)man.Lindo la geti dogo,silaha gobore na kirungu..
love thé love or hâte thé love.....
Inna alivyo kisu wewe jamaa utamuweza?Mkuu kutoa msaada ni muhimu sana hasa ukizingatia jamaa(Ivuga) analala ovyo ovyo!......hata mimi nina mpango wa kuongeza nguvu kwenye kumsaidia pia!
Mimi ntajuaje huenda wew ni dada..hadi nikuone ndipo niamini..jf ni msitu mkuuAliekuambia kuwa kaka ni wewe tu ni nani?!![emoji41][emoji41][emoji41]
Sasa mkuu kama unaamka saa hizi wakati wenzako tunakesha nae kwa nini usiibiwe kwa mfano!![emoji1][emoji1][emoji1]Inna alivyo kisu wewe jamaa utamuweza?
Usidhani kwa vile mnachati wote hapa kwenye keyboard ukafikiri kuwa mnaendana.
Panga kideti naye nakuruhusu. Usimfananishe na mahonda huyu.
Hii ni kisu baba.
Na wewe kwa ufupi wako huo sijui hata utamuanzaje.
Komaa tu na matatizo yako.
Nimewaambia waniibieSasa mkuu kama unaamka saa hizi wakati wenzako tunakesha nae kwa nini usiibiwe kwa mfano!![emoji1][emoji1][emoji1]
We kimtu leo sijakuona nmekumissNimewaambia waniibie
Jirani jirani unahitaji msaadaNyie popoz mko wap leo
Haha jiran duuuh nko mwenyew watu wote Zzziiiiii hadi mbilikimo wanguJirani jirani unahitaji msaada
Njoo kule nikusaidie jamboHaha jiran duuuh nko mwenyew watu wote Zzziiiiii hadi mbilikimo wangu
Dadangu...uko upoponi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]