JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

cdad7494cc23e8cd38dd7e28b57c511d.jpg


sent from kuzimu
 
Afu koma kuniita andunje.

Mi tolu bwana umenipeperushia ndege zangu wengi sana.
Usinijaribu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu siku hizi kuna urefu wa wallet labda ana maanisha uandunje wa wallet

sent from kuzimu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we mbona umenharibia watu wote wanajua me mbilikimo sipati pm tena

Mimi nna wivu sana ndio maana nakuita andunje ili watu wakukimbie.

Nikiona mtu anakutolea macho naumia kumoyo si unajua nnavyokuhusudu afu tumetoka mbali.

Ila wengine nikiona wamezidi nawasemea kwa mshana mpare mfupiii na miwani yake ya jua. Si unaona daby nilimpeleka sasa hivi jf anaiona chungu?
Bado yule famer sijui nani yule kiazi namchora tu atalia siku yoyote
 
Back
Top Bottom