JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hakuna tatizo ambalo halina chanzo. Valium pengine zaweza kukusaidia siku za mwanzo ila zikikuzoea utarudi palepale. Ni vyema kutafuta chanzo cha tatizo
Mmmmh tatizo langu mtu akiniuzi muda mfupi kabla ya kulala huwa nakosa usingizi kabisa,
Na almost kila siku muda mfupi kabla ya kulala anatokea mtu ananiudhi
 
Back
Top Bottom