Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka tunakusahau ata sijui umekumbwa na nini chama lako unalitengaaOkay, Okay
REPUBLIC UNITED OF POPOZ JAMIIFORUMS
Republic of Poopoos.Nimeipenda hii..
Umeielewaa eehNimeipenda hii..
Kalale usitutishie mabamsiHumu si kila mtu ni mwanadamu mengine ni majini usiku ndio yanakuwa active.Jini likicomment kwenye Ujumbe wako linasafiri na ujumbe wake kama data kufuata Ujumbe wako ulipoanzia kuandikwa.Kwakuwa umeandika kutoka kwenye simu au computer huo ndio unakuwa mlango wake wa kutokea na kujumuika na wewe hapo kitandani unapolala
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Humu si kila mtu ni mwanadamu mengine ni majini usiku ndio yanakuwa active.Jini likicomment kwenye Ujumbe wako linasafiri na ujumbe wake kama data kufuata Ujumbe wako ulipoanzia kuandikwa.Kwakuwa umeandika kutoka kwenye simu au computer huo ndio unakuwa mlango wake wa kutokea na kujumuika na wewe hapo kitandani unapolala
ShemelaaaaaaShemelaaaaa jana sikuweza kuja shemela.
Nakutafuta pm kina mtu nam miss sanaa
Na kweli walale tu hii ndo mida yetu majini kula bata.Humu si kila mtu ni mwanadamu mengine ni majini usiku ndio yanakuwa active.Jini likicomment kwenye Ujumbe wako linasafiri na ujumbe wake kama data kufuata Ujumbe wako ulipoanzia kuandikwa.Kwakuwa umeandika kutoka kwenye simu au computer huo ndio unakuwa mlango wake wa kutokea na kujumuika na wewe hapo kitandani unapolala
Na kweli walale tu hii ndo mida yetu majini kula bata.
Kiukweli mimi napendelea nyama fresh kabisa tena ya binti iliyonona, maiti labda niwabebee wanangu.Karibu jini lenzangu.Nikupitie tukafukue makaburi.Unapenda nyama za maiti gani wa kike au kiume
Shemela wako kapotea hizi siku mbiliShemelaaaaaa